Description
Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri by Danny Clifford (Swa. Title Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri. Kama tungeshindwa kuwa makini, kutotii, kupuuza, au kutozingatia nia yetu kuu mahali pale, basi idadi ya kuishi ilipungua kwa kiasi kikubwa. Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri by Danny Clifford Estimated delivery 3-12 business days Format Paperback Condition Brand New Description Utangulizi wa Mwandishi Ili kuendelea kuishi nchini Vietnam, ili uweze kurudi nyumbani ukiwa mzima, unahitajika kupitia mafundisho ya hali ya juu, kupata ozoefu wa mwili na akili na kuwa na uhusiano mwema na wenzako. Kama tungeshindwa kuwa makini, kutotii, kupuuza, au kutozingatia nia yetu kuu mahali pale, basi idadi ya kuishi ilipungua kwa kiasi kikubwa. Niamini nikisema, kuna mambo mengi yalituzuia. Baadhi yetu tulianza kutumia madawa ya kulevya, unywaji wa pombe, kushiriki ngono kihorera, haya yote katika harakati ya kutafuta maisha ya kupendeza, hatari nyingine ilikua inatukondolea macho, hata kabla twende vitani kupigana na makali ya adui zetu, kabla tuwapate nyoka, magonjwa, na wanyama wa pori walioishi katika maeneo haya Kitabu hiki kinaelezea matukio ya kusisimua ambayo nilipitia mimi mwenyewe, mafunzo niliyopata, nilivyopata uzoefu na kuwa na uhusiano mwema na wenzangu, nikiwa mwanajeshi wa Marekani katika kikosi cha 75 cha wanahewa wa kupiga doria mnamo mwaka wa 1969 na 1970, tukifanya upelelezi katika maeneo ya adui zetu. Ni mwaka wa 1971, nikihudumu kama mshauri wa washika doria wa kikosi cha pili milimani, ndani ya msitu katika eneo lililopakana na kambi ya sita katika kijiji cha Plei Mrong, Kusini mwa Vietnam kupakana na nchi ya Cambodia. Jukumu langu lilikuwa kufundisha kikosi cha Mountain Yard na wanajeshi wa Vietnam kuhusu mbinu za kivita na jinsi ya kuwahamisha wanakijiji walioathiriwa na vita. Matukio haya yatakutoa katika vita vya kimwili nchini Vietnam hadi kwenye vita vya kiroho vinavyoendelea kila siku kwa ajili yako. Maswali mengi kuhusu ulimwengu wa kiroho yatapata majibu na imani yako itachukua mwelekeo mpya. Ombi langu ni kwamba, kupitia kitabu hiki, utapata mtazamo mpya kuhusu vita vinavyoendelea kila siku kati ya wema (Mungu) na ubaya (Shetani) kwa ajili ya nafsi yako, wewe binafsi. Kwa hivyo tulia na ufurahie kisa hiki kifupi, ingawa kina uzito wake. Lengo langu ni kuwa ukimaliza kukisoma kitabu hiki, utakuwa umemfahamu kabisa mshindi wa Medali ya Heshima ambaye ni Mwokozi Yesu Kristo. Yesu anakupenda na anataka kuwa na uhusiano mwema na wewe, uhusiano utakao leta mabadiliko kwa nafsi yako, kutoka kiumbe ulicho sasa hadi kiumbe kipya. Roho yako ndio msingi wa kitabu hiki. Mwandishi Danny Clifford Details ISBN 1502763397 ISBN-13 9781502763396 Title Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri Author Danny Clifford Format Paperback Year 2014 Pages 76 Publisher Createspace Independent Publishing Platform GEItemID:93340131; About Us Grand Eagle Retail is the ideal place for all your shopping needs! With fast shipping, low prices, friendly service and over 1,000,000 in stock items - you're bound to find what you want, at a price you'll love! Shipping & Delivery Times Shipping is FREE to any address in USA. Please view eBay estimated delivery times at the top of the listing. Deliveries are made by either USPS or Courier. We are unable to deliver faster than stated. International deliveries will take 1-6 weeks. NOTE: We are unable to offer combined shipping for multiple items purchased. This is because our items are shipped from different locations. Returns If you wish to return an item, please consult our Returns Policy as below: Please contact Customer Services and request "Return Authorisation" before you send your item back to us. Unauthorised returns will not be accepted. Returns must be postmarked within 4 business days of authorisation and must be in resellable condition. Returns are shipped at the customer's risk. We cannot take responsibility for items which are lost or damaged in transit. For purchases where a shipping charge was paid, there will be no refund of the original shipping charge. Additional Questions If you have any questions please feel free to Contact Us. Categories Baby Books Electronics Fashion Games Health & Beauty Home, Garden & Pets Movies Music Sports & Outdoors Toys